![]() |
Uwanja wa Timu ya Real Madrid |
Mkataba huo na kampuni ya kimataifa ya uwekezaji wa mafuta kutoka miliki za kiarabu uliwekwa mwaka uliopita.
Unashirikisha haki za kubadilisha jina la uwanja huo wa Barenabeu,ambapo ndio chimbuko la kilabu hiyo tangu mwaka 1947 na ambao ndio uliokuwa uwanja wa fainali za kombe la dunia mwaka 1982.
Jina ambalo pande zote wameafikia ni Abdu Dhabi Santiago Bernabeu ama Cepsa Santiago Bernabeu.
No comments:
Post a Comment