![]() |
WAKULIMA wa ndizi wakiwa sokoni |
WAKULIMA wa
ndizi kata ya Mbingu , wilayani Kilombero ,mkoa wa Morogoro wameipongeza serikali na Asasi mbalimbali kwa
jitihada za kuboresha zao ndizi kijini hapo.
Wakiongea na
Mbiu ya maendeleo katika kata ya Mbingu wilayani Kilombero hivi karibuni ,wakulima
hao wamesema,ndizi ni mkombozi kwao katikakutatua matatizo ya kiuchumi kwa
kusomesha watoto wao na kumudu gharama za matibabu.
No comments:
Post a Comment