Monday, February 2, 2015

TAZARA yashauriwa kuboresha huduma zake


Wasafiri wakiwa Tazara

MAMLAKA ya  Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA)imeshauriwa kuboresha huduma za usafiri toka Dar  mpaka Tunduma ili ziweze kwenda na wakati.

Mbiu ya Maendeleo ilishuhudia hali ya usafiri wa reli hiyo huku wasafiri wakilalamikia hali ya viti na huduma za chakula kuwa chini ya viwango

No comments:

Post a Comment