Saturday, March 7, 2015

SERIKALI yaombwa kuboresha miundo mbinu ya uzalishaji wa zao la ndizi

Wakulima wa ndizi wakiwa sokoni
SERIKALI yaombwa kuboresha zao la ndizi katika kijiji cha Mbingu, wilayani, kilombero, mkoa wa Morogoro ili kuwawezesha wakulima wadogo kuondokana na umaskini wa kipato
.
Wakiongea na Dira ya Mazingira kijiji hapo mwishoni mwa wiki, wakulima wa ndizi walisema kuwa , arrdhi ya eneo hilo linafaa kwa kilimo cha ndizi kwa kuwa tafiri zote za kilimo na hali halisi ya uzalishaji wa sasa unaonesha kinachotakiwa ni kuwekeza nguvu za wataalamu ili kumkomboa mwananchi wa kipato cha chini.

5 comments:

  1. Siyo mbingu pekee waje na KIlosa kuna mazingira mazuri yakulima ndizi.

    ReplyDelete
  2. Ndizi za aina gani zinazozalishwa

    ReplyDelete
  3. Serikali kwanini isianzishe kiwanda chakukamua juisi huo? Mustafa Malugala wa Ifakara

    ReplyDelete
  4. Ni kweli ndizi zinapatikana kwa wingi Mbingu tatizo barbrara hazipitiki kipindi cha mvua.Hawa Njechele

    ReplyDelete
  5. Ulaya Mbuyuni na Nyameni kuna ndizi nyingi je tutapate wateja na soko la uhakika.Said Rajabu Ulaya , Kilosa

    ReplyDelete