Maporomoko ya mto Kihansi wa Kilombero, Morogoro |
UKOSEFU wa elimu kwa wadau mbalimbali wa
mapambanao dhidi ya mabadiliko tabia nchi ni miongoni mwa mambo
yanayochangia harakati za uhifadhi wa misitu asili kutofanikiwa.
Hayo
yameelezwa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya mazingira
MAI INSTITUTE ya Mlimba wilayani Kilombero Bwana Khalfan Madege
katika mahojiano maaalum na kipindi cha Dira ya Mazingira kinachoondeshwa
na Mbiu ya Maendeleo Media Group.
Amesema ,
Serikali kuu na zile za Halmashauri za wilaya hazina budi kutoa ushirikiano
thabiti kwa Asasi mbalimbali za mazingira kifedha na rasilimali watu ili waweze
kufikia malengo
No comments:
Post a Comment