WAKALA wa misitu nchini (TFS)umetakiwa kuwawezisha Taasisi na
mashirika mbalimbali yanayojishughulisha na uhifadhi na usimamizi wa
misitu
.Wakiongea na wanahabari mapema asubuhi
ya leo katika wilaya ya Kisarawe, mkoa wa Pwani, baaadhi ya wananchi
wamesema, wanashinda kukamilisha baadhi ya malengo ya kuhifadhi na
kutunza misitu kutokana uhaba wa fedha.
No comments:
Post a Comment