Wednesday, October 1, 2014

WANAFUNZI waahidi kuendelea na maandamano


Wanafunzi wakiwa katika maandamano

WANAFUNZI kati eneo la Hong Kong wameahidi kuendeleza maandamano iwapo mkuu wa utawala katika eneo hilo CY Leung hataachia madaraka.

Kiongozi wa wanafunzi hao Lester Shum amesema kwa sasa wanampango wa kuanza kuyazingira majengo ya serikali kama kiongozi huyo hatajiuzuru hadi alhamisi wiki hii.
Kwa maelfu ya watu wameendelea kusambaa katika mitaa mbalimbali ya Hong Kong.
Hata hivyo kiongozi wa wanafunzi hao amesema kuwa ni matumaini yao kuwa kiongozi huyo atajiuzuru kati leo ama kesho

No comments:

Post a Comment