Wednesday, September 2, 2015

MAGUFULI aiteka Mtwara

MGOMBEA urais kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Pombe John Magufuli leo amewahutubiria wananchi wa Mtwara mjini , huku maelfu ya wakazi wa mjini huo wakijitokeza kumsikiliza .

No comments:

Post a Comment