![]() |
| Kituo cha Utafiti wa Kilimo Naliendele Mtwara |
WANANCHI wa mikoa ya Lindi na Mtwara
wamekipongeza kituo cha utafiti wa mazao
cha Naliendele kwa jitihada kubwa inazozifanya
kwa lengo la kuboresha kilimo cha mazao
nchini.
Wakiongea
na mbiu ya Maendeleo wilayani Masasi
mkoa wa Mtwara , baaadhi ya
wakulima wamesema kuwa jitihada inayofanywa na kituo ni kubwa pamoja kuna
changamoto kubwa kwa wakulima kushindwa kutumia vyema tafiti hizo kwaaajili ya
kujikomboa kiuchumi.

No comments:
Post a Comment