Monday, January 11, 2016

MAHAKAMA Venezuela yasimamisha shughuli za Bunge

Rais wa Venezuela 
MAHAKAMA kuu ya Venezuela imeamuru masuala yote ambayo yatatekelezwa na bunge la nchi hiyo ambalo linadhibitiwa na upinzani hayatatambuliwa rasmi hadi pale wabunge watatu wanaoshtumiwa kutochagua kihalali watakapoondolewa.





No comments:

Post a Comment