![]() |
| Wakulima wa Pemba, Zanzibar wakiwa shambani |
KILIMO
mbadala ndiyo njia pekee ya kukabiliana na changamoto za
umaskini wa kipato kwa wanawake, imefahamika.
Hayo yamebainishwa hivi karibuni na wanakikundi wa Pemba
Community Forest katika mazungumzo yao na wanahabari
Wanawake hao wa wanasema ‘’Jamii zetu wanatumia mbinu bora
ya kulima bustani ndogo inayozidisha upatikanaji wa matunda na mbogomboga kwa
afya bora”.
Wamefafanua kuwa ni muhimu kwa jamii kuwekeza katika kilimo
cha bustani na mbogamboga ili kukuza uchumi , kuhifadhi mazingira sanjari na
kupambana na magonjwa yanayosabishwa na lishe duni.

No comments:
Post a Comment