Thursday, March 27, 2014
DAR ES SALAAM, UMASKINI wa kipato na elimu ni miongoni mwa mambo yanayochangia watu wengi kutofuata kanuni bora za Imefahamika.Hayo yamebainishwa maopema leo na wakazi wanaoishi kando ya mto Msimbazi , kata ya Jangwani, wilayani Kinondoni, jijini Dar es salaam.Wamefafanua kuwa mvua zinzoendelea zina madhara makubwa kiafya kwao na famailia zao , lakini umaskini wa kipato unawafanya waendelee kuishi katika maeneo hayo hata kama kuna dalili zote za kupata magonjwa yakuambukizwa yatokanayo na maji machafu.Serikali kupitia idara ya hali ya hewa nchini imekuwa ikiwahimiza wananchi wanaokaa mabondeni kuhama kutokana na kuendelea kwa mvua za masika zinazoendelea kunyesha nchi nzima .Wakazi hao wamefafanua nua kuwa wanahitaji uwezeshwaji wa kipato sanjari na elimu ya kutosha ya afya ili kuondoka katika maeneo ya bondeni.UCHUNGUZI uliofanywa na mbiu ya maendeleo umebaini kuwa maeneo mengi ya bonde yamekubwa ma mafuriko ya muda mfupi watsani wa saa 2-3 kutokana makazi yao kukubwa na mafuriko.Maeneo yalioathirika na ambayo ni hatari ni Mwananyamala, Kinondoni mkwajuni maeneo ya mafere, Jangwani, Kigogo, Buguruni maeneo ya Sukita na Msasanii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment