Monday, March 24, 2014

IMEELEZWA kuwa mkoa wa Dar es salaam, unaongoza kwa kwa kuwa na idadi ya watu wengi wenye fursa ya kusikiliza redio, koangalia Tv na kusoma magazeti ikiwa ni asilimia 18 kwa wanawake na asilimia 66 kwa wanaume.Hayo yamebainishwa hivi karibuni na Tanzania HIV /AIDS anda malaria Indicator survey, kwa kushirikiana na Tassisi ya Takwimu nchini (NBS) katika tafiti iliyofanyika nchini nzima kwa 2011-2012 Iikiwa na hali halisi ya kuangalia maambukizi ya ukimwi na malaria.Taarifa hiyo imefafanua kuwa watu wengi nchini hawana utamaduni wa kusikiliza redio, kuangalia tv na hasa vipindi vya elimu kwa umma kwaaajili ya kupata mbinu stahiki za kupambana na magonjwa huku wengi wao wakiawa hawana elimu ya kutosha juu ya namana ya kupambana na magonjwa na kufahamu njia za kisasa za kupambana na magonjwa ambukizi.kwa lengo la kufikia kfani

No comments:

Post a Comment