Monday, March 24, 2014
Wanaume wenye umri wa miaka 15-49 ambao wametahiriwa wana uhakika mdogo wa kupambukizwa ukimwi ukilinganisha na wanaume wasiotahiriwa. Kutokana na hali hiyo wadau wa mapambano ya ukimwi nchini wakiongozwa na TACAIDS wameanzaisha mpango maalum unaofahamika kwa jina la mkono wa sweta katika mikoa ya Rukwa,Iringa , Mbeya , Njombe na Tabora.Mikoa mitabno inayoongozwa kwa wanaume kutotahiri ni na asilimai zao kwenye mabano ni Rukwa (asilimi 27.5 ndio wametahiriwa, Simiyu( 30.4 %), Shinyanga (32.2%)Mbeya(37.9%),na Kagera(38.9%).Mikoa inayoongozwa kwa wanaume wengi kutahiriwa na asilimia zao kwenye mabano ni Mtwara(99.6%)Lindi(99.2%),Tanga(98.8%), Kilimanjaro(97.7).Dodoma(95.9%)KD
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment