CHUO KIKUU
cha Malawi (UNIMA) kimetangaza mpango wake wa kuanzisha shahada ya uzamivu
katika taaluma ya uongozi itakayoanza mwezi huu kupitia chuo cha uuguzi cha
Kamuzu.
Mpango huo unatarajiwa kuanzishwa tarehe 27,juni mkatika
mjini wa Lilongwe kwa kushirikiana na chuo kikuu cha Columbia kupitia mradi mradi
wa ubia wa elimu ya uuguzi.
Kwa mujibu wa (UNIMA)lengo la kuanzisha shahada ya uzamivu
ni kuandaa wataalamu wa uongozi katika masuala ya afya ngazi ya shahada ya
uzamivu.
Mbali na hayo,mpango huo utaongeza utoaji wa huduma ya fya
ngazi ya nchi, Afrika na Duniani kwa
ujumla.
.
No comments:
Post a Comment