MALAWI inaendesha kampeni ya
wiki moja ya kukuza afya ya wanafunzi wa shule katika nchi za kusini mwa Afrika
.
Mkuu wa huduma za afya nchini Malawi Dokta Charles Mwansambo amesema kuwa kampeni hiyo ya wiki
moja inalenga watoto wa miezi 6 mpaka miaka mitano kwa lengo la kupunguza vifo
.
Amesema katika wiki ya kuboresha
afya ya mwananfunzi serikali ya Malawi inatoa vidonge vya albandazole na matone
ya vitamin A sanjari na utoaji wa ujumbe
unaohusu afya ya mtoto.
No comments:
Post a Comment