Watoto Jamhuri ya Afrika ya kati |
Hayo yamebainishwa hivi karibuni na na shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia watoto la UNICEF kufuatia ghasia zinazoendelea nchini Janhuri ya Afrika ya kati ambapo zimewathiri watoto kwa kiwango kikubwa sana
Mwakilishi wa UNICEF nchini humo Soulaymane Diabate ameelezea ghasia hizo kama mbaya zaidi kutokana na ukatili wake.
Amesema kuwa mtoto mmoja ameuawa ama kulemazwa kila siku katika kipindi cha miezi sita iliopita.
Amesema kuwa zaidi ya watu laki mbili wameachwa bila makao.
No comments:
Post a Comment