Monday, June 9, 2014

RAISI wa Malawi amteua Bwana Nicolous Deusi kuwa mkurugenzi wa idara ya usalama wa Taifa


RAISI mteule wa Malawi  Profesa Arthur Peter Mutharika amemteua bwana Nicolous  Deus kuwa mkurugenzi wa idara ya usalama wa Taifa wa nchi hiyo.

Kwa mujibu wa taaifa iliyotolewa na katibu mkuu wa Ikulu wa nchi hiyo Bi Hawa Ndilowe , uteuzi huo umenza mara moja baada ya kuchukua nafasi iliyokuwa ikishiriwa na mkuu wa polisi wa nchini hiyo(IGP) bwana Joseph Airon
Akizungumzia uteuzi huo wa Raisi, mteule huyo wa idara hiyo nyeti, Bwana Deusi amesema ameupokea uteuzi kwa moyo mkunjufu na ana aahidi kufanya kazi kwa bidii na uadilifu.

No comments:

Post a Comment