WANAWAKE wanaoishi na virusi vya ukimwi kaskazini mwa Malawi katika
wilaya ya Karonga wameachwa na wanaume zao baada ya kugundulika kuwa ni
waathirika ya ukimwi na wanaume hao kuamua kuoa wanawake wengine .
Malya
Simbeye ni mmoja wa waathirika wa kadhia hiyo amewaambia wanahabari mjini
Bryantire kuwa mumewe aliamua kumuacha baada ya kugundua kuwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Tafiti
kutoka nchini Malawi zinzeleza kuwa ,
asilimia 15 ya wanawake walioambukizwa ukimwi
nchini humo wametarikiwa na waume zao
No comments:
Post a Comment