Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza William Hague |
Kiongozi wa Boko Haramu Aboubakar Shekau |
WAZIRI wa mambo ya nje wa Uingereza William Hague amesema nchi yake
itasaidia Nigeria msaada wa kijeshi na elimu katika juhudi za kupambana na
kundi la wanamgambo wa Boko Haramu.
Akiongea hivi karibuni Bwana
Hague amesema,mafunzo hayo yatalenga zaidi jeshi la Nigeria katika kupambana na
makundi ya waasi ambapo kwa upande wa elimu watawawezesha zaidi ya watoto
milioni moja nchini humo kupata elimu
Hivi karibuni karibuni la kundi la Boko la Haramu nchini Nigeria limezidisha mashambulizi nchini humo tangu lilipoteka wasichana mwishoni mwa mwezi mei
No comments:
Post a Comment