WANANCHI
wa Kata ya Rubeho na Chakwale Wilayani Gairo Mkoani Morogoro wametakiwa kuitunza na kuilinda miundombinu ya Umeme katika maeneo yao kwakua ndio ufunguo wa maendeleo yao.
Hayo yamesemwa na Meneja wa TANESCO Kanda ya Kati Eng Godwin Mnzava wakati akikagua maendeleo ya mradi wa usambazaji umeme
Hayo yamesemwa na Meneja wa TANESCO Kanda ya Kati Eng Godwin Mnzava wakati akikagua maendeleo ya mradi wa usambazaji umeme
vijijini Wilayani humo ambapo vijiji hivyo vimenufaika na mradi huo.
Aliwataka wananchi wa vijiji hivyo kujitokeza kwa wingi kujaza fomu za maombi ya umeme kwani mradi huo ambao ukombioni kukamilika awamu ya kwanza.
Katika takwimu zzake meneja huyo alisema zaidi ya wateja 1200 wanatraji kuunganiswa katika
awamu ya kwanza kwa vijiji saba vilivyopitiwa na mradi huo.
No comments:
Post a Comment