CHAMA cha mapinduzi CCM wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro
kimesikitishwa na hali inayojitokeza katika hospital ya wilaya kwa baadhi ya
wauguzi wa afya kutoa lugha chafu kwa wagonjwa mara wanapokwenda kupata
matibabu hospitalin hapo.
Hayo
yameelezwa na katibu waccm wilaya ya Kilosa Dodo Sambu hivi karibuni wakati wa
kikao na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya baada ya wazee hao kutoa
malalamiko kuhusu wagonjwa kunyanyaswa na watoa huduma hao .
Dodo
ameeleza kuwa chama cha mapinduzi kimepokea kwa masikitiko
yanayotolowe na wananchi na wazee juu ya vitendo vya kutolewa lugha
chafu vinavotendwa na watoa huduma hospitalini hapo.
Amesema
kuwa watoa huduma hao wa afya wanapaswa kuhudumia vizuri na kwa
upendo wagonjwa mara wanapofika kupata matibabu kwa kufuata maadili ya kazi
zao.
Dodo
ameongeza kuwa malamiko ambayo yanayotolewa kwenye kuwahudumia wagonjwa
hospitalini hapo yanatendwa na watoa huduma hao ambao wanasahau
kuwa waliapa kuwahidumia vizuri wagonjwa hivyo kufuatia hali hiyo
chama cha mapinduzi wilaya kinaiomba halmashauri ya wilaya kuwachukulia
No comments:
Post a Comment