Wananchi wakiondoka Jamhuri ya Afrika ya kati |
Ripoti zinaeleza kuwa, maelfu ya watu jana walilimiminika katika mji mkuu Bangui kufuatia kuibuka mapigano mapya kati ya wanamgambo wa Kikristo wa Anti-Balaka na wale wa Kiislamu wa Seleka,
mapigano yaliyowalazimisha raia hao kuyahama makazi yao.
Mmoja wa watu waliokimbia mapigano ya huko Bamburi amesema katika mahojianao aliyofanyiwa kuwa, wanajeshi wa Ufaransa walioko Jamhuri ya Afrika ya Kati wanachochea wenyeji kushiriki katika mapigano na kwamba vikosi vya Marekani vinapaswa kulaumiwa kwa kushtadi hali ya mchafukoge nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.
No comments:
Post a Comment