MASHINDANO ya usomaji wa
Quran yanaanza leo katika ukumbi wa Diamond jubilee jijini Dar es salaam ya
kiwa yanalengo la kuwafanya wanafunzi wa kiislamu kuhifadhi kitabu kitukufu cha
Quran.
Mgeni rasmi wa ufunguzi wa
mashindano hayo yaliyoandaliwa na umoja wa shule za kiislamu nchini ni
mwenyekiti wa Taasisi ya The Islamic Foundation ya mjini Morogoro Sheikh Aref
Mubaraka Nahdi

No comments:
Post a Comment