WANAHARAKATI
wa mapambano ya vvu na unyanysaji wa jinsia mkoani Morogoro wamesema mapambano
yanakwamishwa na serikali kutojali vipaumbele vya walengwa kwenye bajeti kuu.
Wanaharakati hao 60 kutoka
wilaya zote mkoani humo wamebainisha hayo kwenye mafunzo ya kujengewa uwezo wa
uandaaji sera na sheri za jinsia nchini yanyoendeshwa chuo cha mafunzo ya
jinsia nchini GTI kwaushirikiano na Deloitte kupiti program ya pili ijulikanyo
Tunajali.
Wakizungumza kwa nayakati
tofauti baadhi ya washiriki akiwemo Hamza Mfaume walibainisha baadhi ya vyanzo
hivyo vinavyoendela kuchochea kuwa ni umasikini kwa jamii,sera kutokugusa
baadhi ya walengwa na bajeti kutengwa kwa jumlajumla.
No comments:
Post a Comment