Wachezaji wa Ujerumani wakiwasili nchi mwao |
TIMU ya taifa
ya soka ya Ujerumani imewasili nchini humo kwa kishindo wakiwa na kombe lao la
ushindi walilolinyakua katika mashindano ya kombe la dunia ambyo yalikamilika
juzi nchini Brazil.
Maelfu ya mashabiki wa soka wamekuwa
wakisubiri tangu asubuhi na mapema mjini Berlin kuwakaribisha wachezaji hao
Sherehe zitafanyika katika eneo la
Brandenburg Gate, ambako wachezaji wataonyeshea kombe lao, ambalo walilishinda
katika fainali ya mashindano hayo dhidi ya Argentina
No comments:
Post a Comment