WAKAZI wa wilaya z
aUlanga na Kilombero mkoani Morogoro wameipongeza
serikali kwa ujenzi wa kivuko cha mto Kilombero kwani pindi kitakapokamilika kitakuwa mkombozi wa kiuchumi.
Ujenzi wa mto Kilombero ukiendelea |
Wakiongea na Mbiu ya maendeleo
katika kivuko cha mto Kilombero mapema leo mjini Ifakara , wananchi hao
wamesema , kwa muda mrefu wakulima na wafanyabiashara wamekuwa wakipata hasara
kutokana na kutegemea kivuko hicho kwakuwa kina wahi kufungwa na kuchelewa
kufunguliwa.
Wamesema kitakapokamilika mapema
mwakani kama serikali ilivyoahidi wananchi hao wataonesha shukrani zao kwa
kutunza miundo mbinu.
No comments:
Post a Comment