Mazao ya mbogamboga |
CHAMA cha
wakulima wa bustani nchini(TAHA) kimedhamiria kuleta mabadiliko ya kilimo cha
mboga katika mkoa wa Morogoro na wilaya zake kwa kuwawezesha wakulima pembejeo,
kilimo cha kisasa na masoko ya bidhaa.
Wakiongea na Mbiu ya maendeleo ofisini za TAHA zilizopo
posta mkoa wa Morogoro mapema leo , wataalamu wa kilimo wa kanda ya TAHA kanda ya Mashariki wamesema mapinduzi ya kijani hayana budi
kwensa sanjari na uboreshaji wa kilimo cha bustani ili kupambana na umaskini wa
mtyu binafsi na kaya.
No comments:
Post a Comment