MWITO wa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu
nchini Kenya umetolewa katika kilele cha mashindano ya Qur'ani Tukufu
yaliyofanyika katika msikiti wa Jamia jijini Nairobi.
Wanafunzi 135 kutoka madrasa na taasisi mbalimbali za elimu ya Kiislamu
nchini humo, wameshiriki mashindano hayo, yaliyoanza siku ya Ijumaa na
kugawanywa katika vetengo vinne.
No comments:
Post a Comment