Soko la Buguruni jijini Dar es salaam |
HALI ya masoko
jijini Dar es salaam ni mbaya kutokana na kukithiri kwa uchafu hali
inayohatarisha afya za walaji
.
Uchunguzi uliofanywa na Mbiu ya
maendeleo katika masoko ya Buguruni na Ilala yaliyopo Manispaa ya Ilala ,
jijini Dar es salaam umebaini kuwa , pamoja na jitihada za mara kwa mara za
waandishi wa habari za mazingira kukosoa mamlaka husika lakini hali ni mbaya
sana kwani mazingira ya maendeoe hayo hayana sifa za kufanyika biashara
No comments:
Post a Comment