Kaimu mkurugenzi mkuu wa NSSF Crescesius Magori akitoa ufafanuzi katika banda la shirika hilo viwanja vya sabasaba |
SHIRIKA la hifadhi ya jamii nchini (NSSF) imesema kuwa ina mpango wa kupanua wigo wa huduma zake kwa wakulima na wachimbaji wadogo sekta za madini
Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Crescesius Magori (kulia) wa Shirika la Taifa la Hifadhi
ya Jamii NSSF ameeleza hayo jana kwenye maonesho ya sabasaba ya 38 ynayofanyaka katika
viwanja vya Mwl Nyerere barabara ya
Kilwa jijini DAR ES SALAAM .
Amesema , lengo ni kuwawezesha
wafanyabiashara na wafanyakazi wa sekta hizo kupata huduma ya NSSF iili waweze kujiwekea akiba ya uzeeni
...
No comments:
Post a Comment