Thursday, July 3, 2014

MAKAMU wa Rais akutana na balozi wa Oman na Syria


Makamu wa Rais Dk Mohamed Bilal akimakaribisha balozi wa Syria nchni

Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, amekutana na  Balozi wa Syria nchini Tanzania, Abdulmonem Annan, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 3, 2014 kwa mazungumzo.


Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya muunganona ujumbe huo watazungumza mambo mbalimbali kati ya Tanzania na nchi hizo katika muktadha wa uchumi siasa na diplomasia.






No comments:

Post a Comment