Sunday, July 6, 2014

WAKAZI wa Tungi, manispaa ya Morogoro wahofu kupata magonjwa ya mlipuko


Waandishi wa habari wakiangalia Bwawa la Mindu Morogoro

WAKAZI wa kata ya Tungi Manispaa ya Morogoro wamekumbwa na hofu ya magonjwa ya mlipuko kutokana na kile walicho kiita kutelekezwa na mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira MORUWASA kwa kutowapatia maji safi na salama kwa muda mrefu.

 
Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi katika baadhi ya mitaa katani humo Zamu Chande na Stela Fredy walisema mbali na MORUWASA kufahamu fika kutotoa huduma hiyo kwa wanachi kwa muda mrefu imekuwa ikidai kulipwa na kutishia watu kuwaburuza mahakamani.

.Kuhusu tozo lisilostahili kwenye Ankara za maji akina mama hao walisema  mamlaka hiyo imewafanya kitegauchumi chao kwa kuwalazimisha kulipia ankala wasizizotumia huku wakitishiwa kushitakiwa kwa wanaokaidi.
Juhudi za kumpata mkurugenzi wa Moruwasa kutoa ufafanuzi zinaendelea baada ya kushindikana kutokana na kuwa kwenye mapuniziko ya wiki,hata hivyo Diwani wa kata hiyo Deogratius Mzeru amekili kuwepo kwa suala hilo alilosema kuendekezwa na Malaka.

 Tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama katika manispaa ya morogoro limekuwa sugu licha ya juhudi zinazo endelea kufanywa na mbunge wa jimbo hilo Abdulahazizi abood ikiwemo kulifikisha



No comments:

Post a Comment