Sunday, July 6, 2014

WANANCHI wilayani wapatiwa ofa ya kutumia maji bure kwa miezi mitatu



 
Bomba la maji mtaa wa Vikawe, Kibaha mkoani Pwani
WAKAZI wa Mitaa ya Vikawe, Vikawe Shuleni, Vikawe Bondeni na Vikawe
wilayani Kibaha mkoani Pwani wamepatiwa ofa ya kutumia maji bure kwa
miezi mitatu baada ya huduma hiyo kuanza kupatikana ambapo mitaa hiyo
haikuwa na maji ya bomba.


Kwa muda mrefu wananchi wa mitaa hiyo wamekuwa wakipata tabu na dha ya huduma ya maji hivo kuja kwa huduma hiyo katika maeneo hayo kutasaidia kuondoa kero ya muda mrefu sanjari na kuepusha magonjwa ya mlipuko.


No comments:

Post a Comment