MAHAKAMA Pakistani yasema adhabu ya kifo itatekelezwa
Asia
MAHAKAMA nchini
Pakistan imesesema adhabu ya kifo iliyotolewa kwa mwanamke mkristo
aliyeshtakiwa kwa kukufuru dini mwaka 2010 itatekelezwa.
Asia Bibi alipatikana na hatia ya kutoa
matamshi ya kukera na kuudhi kumhusu Mtume Mohammad wakati akibishana na
mwanamke mwingine musilamu. Mahakama kuu mjini Lahore, ilikataa rufaa
yake dhidi ya hukumu aliyopewa na mahakama ya chini.
No comments:
Post a Comment