Mtu ambaye alipigwa risasi na kuuawa ndani ya bunge amefahamika kama Michael Zehaf-Bibeau.
Akizungumza kupitia televisheni Waziri mkuu wa Canada , Steven Harper amesema kuwa nchi yake haitatishwa na mfulurizo wa mashambulizi ya hivi karibuni ambapo askari mmoja aliuawa na bunge la taifa kuingiliwa na watu wenye silaha.
Bwana Harper amesema wataongeza mara dufu juhudi zao dhidi ya wale wanaotumai kuleta ukatili wao kwenye ndani ya Canada. Msako mkali wa usalama uliokuwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Ottawa, umesitishwa, licha ya kwamba maeneo yanayozingira bunge bado yamefung
No comments:
Post a Comment