Thursday, October 23, 2014
ULAYA kupunguza asilimia 40 ya gesi chafu kufikia 2030
.
Lakini makundi ya wanaharakati wa mazingira wanasema mapendekezo hayo ni kawaida yangekuwa bora zaidi.
Katika kikao hicho hicho , kamati ya Muungano wa Ulaya imeiagiza Uingereza kuulipa Muungano wa Ulaya dola Bilioni mbili nukta saba .
Pesa hizo zimetolewa kufuatia mabadiliko ya utaratibu wa tume hiyo wa kuangalia viwango vya mafanikio ya kiuchumi ya nchi wanachama tangu mwaka 1995 .
Nchi za Uholanzi na Utaliano ni miongoni mwa nchi nyingine wanachama zinazokabiliwa na malipo ya ziada , huku Ujerumani na Ufaransa zikitarajia kupata punguzo la malipo kwa kulipa pesa taslim.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment