Rais wa China Xi Jinping |
INADAIWA kuwa
wanunuzi, raia wa Uchina walinunua maelfu ya kilo za pembe za ndovu nchini
Tanzania na kuzitorosha kutoka nchini humo katika ndege ya kibinafsi ya raia wa
Uchina Xi Jinping,wakati alipozuru bara Afrika.
Kulingana na shirika la ujasusi la mazingira
lililo na makao yake mjini London.
Pembe hizo zilinunuliwa wiki moja tu
kabla ya ziara ya rais huyo wa Uchina nchini tanzania mwaka ulioipita ambapo
zilifichwa katika mifuko ya wanadiplomasia ili kutokamatwa.
Pembe za ndovu
Shirika hilo pia linadai kwamba
wajumbe waliokuwa wakiandamana na Rais Xi walinunua viwango vikubwa vya pembe
hizo.
No comments:
Post a Comment