Thursday, December 25, 2014

WAFANYABIASHARA waaswa kuzingatia kanuni za uhifadhi wa mazingira

Wafanyabiashara wakiwa sokoni
MAZINGIRA ni suala mtambuka, hivyo uhifadhi wa mifugo wakati wa kufanya biashara za uuzaji na ununuaji wa kuku, mbuzi na Ng’ombe hauna budi kuzingatia athari za kimazingira .


Ushauri huo umetolewa na baadi ya wafanyabiashara wa kuku mjini Ifakara , wilayani Kilombero, mkoa wa Morogoro katika mahojiano na kipindi cha Dira ya mazingira kiinachoondesha na Mbiu ya maendeleo Media Group.


No comments:

Post a Comment