ki
|
WAKRISTO kote duniani leo tarehe 25 Disemba wanasherehekea Krismasi na
siku ya kuzaliwa Nabii Issa Masih, amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake.
Baadhi ya Wakristo wanaamini kuwa Mtume huyo wa
Mwenyezi Mungu alizaliwa tarehe 25 Disemba zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
Taharuki za maandalizi ya sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya wa 2015 zilizoanza siku kadhaa zilizopita zilifikia kileleni jana jioni huku misongamano mikubwa ikishuhudiwa katika maduka na maeneo ya kibiashara.

Kumekuwa na mitazamo tofauti juu ya uhakika wa tarehe ya kuzaliwa Nabii Isa , huku baadhi
ya madhehebu ya kikristo yakipinga kuhusu sherehe hiyo ya krismas
No comments:
Post a Comment