Misitu ya asili wilayani Kilombero |
UKOSEFU wa
elimu kwa wadau mbalimbali wa mapambanao dhidi ya mabadiliko tabia nchi ni
miongoni mwa mambo n yanayochangia harakati za uhifadhi wa misitu asili kutofanikiwa.
Hayo yameelezwa
hivi karibuni na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya mazingira MAI INSTITUTE ya Mlimba wilayani Kilombero Bwana Khalfan
Madege katika mahojiano maaalum na
kipindi cha Dira ya Mazingira kinachoondeshwa na Mbiu ya Maendeleo Media
Group.
Amesema ,
Serikali kuu na zile za Halmashauri za wilaya hazina budi kutoa ushirikiano
thabiti kwa Asasi mbalimbali za mazingira kifedha na rasilimali watu ili waweze
kufikia malengo
No comments:
Post a Comment