![]() |
Rais Jakata Kikwete wa Tanzania kushoto na Rais Uhuru Kenyata wa Kenya Kulia |
kupunguza idadi ya ndege za Kenya zinazotua nchini Tanzania na agizo la wizara ya maliasili ya Kenya kupiga marufuku magari ya Tanzania
kuingia katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta.
Katika makubaliano hayo ndege za Kenya Airways sasa zitafanya safari zake kama kawaida nchini Tanzania na magari ya Tanzania
yataruhusiwa kuchukua watalii na abiria katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta.
Kutoka Dar es Salaam Arnold Kayanda na taarifa ifuatayo.
Akizungumza na waandishi wa habari waziri wa mambo ya nje wa Tanzania Bernald Membe amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya viongozi hao wakuu wa
nchi hizo mbili kukutana nchini Namibia walikokwenda kuhudhuria maadhimisho ya miaka 25 ya uhuru wa Namibia na kuapishwa kwa rais mpya wa nchi hiyo.
Awali kabla ya uamuzi wa marais hao, magari ya Tanzania yaliyokuwa yakichukua watalii katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta,
yalipigwa marufuku na serikali ya Kenya katika agizo lililotangazwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afrika Mashariki,
No comments:
Post a Comment