![]() |
Wavuvi na wachuuzi wa samaki wakiwa katika mwalo wa Ziwa Victoria |
HALI ya utunzaji na uhifadhi mazingira
katika mwalo wa Ziwa Victoria si mzuri
kwani uharibifu unachukua nafasi
kubwa kutokana na wavuvi kutofuata kanuni za uvuvi zilizo rafiki wa mazingira ,Imeelezwa
Timu ya
wataalamu wa Mazingira waliotembelea mialo ya Ziwa Victoria hivi karibuni
katika kujionea namna wavuvi na wananchi
wengine wanaoendesha shughuli za kibinadamu kando kando ya ziwa hilo,
imeshuhuda uharibifu wa Mazingira.
Kutokana na hali hiyo serikali na wadau
mbalimbali wa Mazingira wametakiwa kufika katika maendewoe hayo na kutoa elimu
kwa umma namana ya kutunza na kuhifadhi mazingira ili kuondoa sintofahamu
itakayojitokeza
No comments:
Post a Comment