Thursday, April 30, 2015

BARAFU ya Mlima Kilimanjaro kutoweka ifikapo mwaka 2020


IMEELEZWA kuwa , kuna tishio la uharibifu wa mazingiara  na kuongezeka kwa joto duniani hali inayochangiwa kwa kiasi kikubwa na uharibu wa mazingira unaofanywa na binadamu.


Hayo yamebainishwa hivi karibuni na wataalamu wa mazingira toka sehemu mbalimbali duniani katika mkutano uliofanyika jijini Dar es salaam uliojadili athari ya mabadiliko ya tabia nchi.

Wataalamu hao wamefafanua kuwa, barafu kwenye mlima Kilimanjaro itatoweka ifikapo mwaka 2020 hali ambayo ni hatari kwa shughuli za kiuchumi nakijamii kwa watanzania na majirani .
Mbali na hayo wamesema,kina cha maji katika maziwa yetu kinaendelea kushuka , huku misitu ikiteketea.



No comments:

Post a Comment