Saturday, April 4, 2015

TAKATAKA zaweza kuwa chanzo cha kuondoa umaskini

Wananchi wakitupa taka katika gari maalum
   UTUNZAJI 
wa mazingira kwa kuondoa taka ngumu na nyepesi  unaweza kuwa  njia mbadala ya kuwawezesha wananchi kuondokana na umaskini wa kipato.

Wataalamu wa Mazingira wameeleza hayo mwishoni mwa wiki katika mahojiano maalum na kipindi cha Dira ya Mazingira mjini Morogoro .
Wamesema  kuwa, Tanzania kwasasa inazalisha taka ngumu na zile laini kwa kiwango kikubwa sana , hivyo ni muhimu kwa watanzania kuchangamkia fursa hiyo.

No comments:

Post a Comment