Tuesday, April 14, 2015

UCHAFUZI wa mazingira ndio chanzo cha kuzaliana kwa mbu


Mbu aenezae ugonjwa wa malaria
WAKATI nchi ikiadhimisha wiki ya malaria Duniani, imebainika kuwa uchafuzi wa mazingira ndio chanzo kikubwa cha kuenea kwa kasi kubwa ya ugonjwa wa malaria nchini .

Hayo yamebainishwa mapema jana na Dakta Kija wa Taasisi ya Utafiti wa malaria nchini yenye makao yake makuu Ifakara, mkoani Morogoro katika mahojiano maalum na Dira ya Mazingira.
Amesema , kuwa kutozingatiwa kwa kanuni na taratibu za utunzaji na uhifadhi wa mazingira kunamchango mkubw wa kuongeza kwa kuzaliana kwa mbu na hivyo kusababiha maambukizi ya malaria .


No comments:

Post a Comment