UHARIBIFU wa mazingira
na kukosekana kwa mipango madhubuti ya
mifumo ya maji taka ni miongoni mwa mambo yanayochangia jiji la Dar es salaam
kukumbwa na mafuriko kila mwaka .
Hayo
yamebainishwa hmapema jana na wakazi
wakzi wa jiji la Dar es salaam wakati wakiongea na Dira ya Mazingira , katika
eneo la Posta,Dar es salaam .
Wamesema
ubovu wa miundo mbinu unachangia foleni za magari , hivyo kuathiri shughuli za
uzalishaji mali .
KAMA Mtu anatoka
posta mpaka Mwenge anatumia zaidi ya saa sita kutokana na ubovu wa miundo mbinu
unafikiri kuna kazi zenye tija katika hali hii?aliuliza Bi Kuluthumu Ngongiti
mkazi wa Tegeta , jijini JIJINI Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment