Kibao cha wakala wa Huduma ya Misitu TFS wilaya ya Kilosa |
WADAU ,Taasisi na idara mbalimbali zinazohusu mazingira
zimetakiwa kuweka vibao vinaonesha
alama mbalimbali katika maeneo ambayo ni hatari kwa shughuli za kibinadamu zenye
kuharibu mazingira.
Ushauri
huo umeptolewa mapema leo kleo na wakazi
wa mji wa Kilosa wakatika wa kiongea na kipindi cha Dira ya Mazingira.
Wamesema ,
suala la elimu kwa umma kuhusu utunzaji na uhifadhi wa mazingira halijapewa
uzito wa kutosha kwani maeneo mengi wananchi wanaharibu mazinigira ikiwemo
kuchimba mchanga ,kukata miti bila ruhusa toka mamlaka husika , kulima katika maeneo yasiyo rafiki wa mazingira kwa
kisingizio cha kukosekana kwa vibao vya alama vinavyokataza shughuli za
kibinadamu.
Wameipongeza
Wakala wa huduma ya Misitu nchini (TFS) na Idara ya Afya na Mazingira kwa
kuweka angalau vinbao katikan baadhi ya maeneo , lakini navyo havikidhi haja .
No comments:
Post a Comment