LEO ni siku ya
mazingira ambapo jamii imetakiwa kutunza na kuhifadhi mazingira kwa
kutumia majiko rafiki wa mazingira.
Kitaifa sherehe za siku ya mazingira zinafanyika
jijini Tanga , ambapo watalaamu mbalimbali watafanya usafi katika Fukwe za
bahari ya Hindi jijini Tanga
No comments:
Post a Comment