MWENYEKITIwa NEC Jaji Damian Lubuva |
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)yatoa ratiba ya uboreshaji wa daftari mikoa ya manyara, Kilimanjaro Arusha na Mara
JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
TUME
YA TAIFA YA UCHAGUZI
UBORESHAJI
WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
MIKOA
YA ARUSHA, KILIMANJARO, MARA NA MANYARA.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi
inawatangazia wananchi wote wa Mikoa mine (4) ya Arusha, Kilimanjaro, Mara na
Manyara kuwa itaendesha zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
kvra kutumia Teknolojia ya liometric Voters Registration'.
Zoezi hilo la Uboreshaji litanzia tarehe 09/06/2015 hadi 09/07/2015.
Vituo vya Uandikishaji vitakuwa kwenye Vitongoji, Mitaa na Vijiji katika Kata zote za Mikoa hiyo mine iliyotajwa. Vituo vitafunguliwa kuanzia saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.
Watakaohusika katika zoezi hili ni wananchi wote:-.
Zoezi hilo la Uboreshaji litanzia tarehe 09/06/2015 hadi 09/07/2015.
Vituo vya Uandikishaji vitakuwa kwenye Vitongoji, Mitaa na Vijiji katika Kata zote za Mikoa hiyo mine iliyotajwa. Vituo vitafunguliwa kuanzia saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.
Watakaohusika katika zoezi hili ni wananchi wote:-.
- Waliotimiza umri wa Miaka 18 na watakaotimiza Miaka 18 ifikapo mwezi Oktoba 2015.
- Waliojiandikisha awali kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura iii kuhuisha taarifa zao na kupata kadi mpya za kupigia kura.
- Wote ambao wanazo sifa lakini hawajawahi kujiandikisha
- Wananchi wanatakiwa kwenda kujiandikisha kwenye vituo vya kujiandikisha vilivyoko ndani ya Kata zao.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda
kuwasisitiza wananchi wote katika Mikoa hiyo minne kujitokeza kwa wingi ill
waweze kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwani ndiyo hatua
muhimu ya kuwawezesha kupiga Kura ya Maoni na Uchaguzi Mkuu na kuchagua
viongozi wao. Uandikishaji utafanyika kwa muds vra siku saba (7) kwa kila
kituo.
JITOKEZE SASA NENDA KAJIANDIKISHE
Tangazo hili limetolewa na Tume ya
Taifa ya Uchaguzi,
+255 772 55 55 53
S.L.P. 10923, Dar es Salaam
+255 772 55 55 53
S.L.P. 10923, Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment